Saturday, June 27, 2015

AJALIMwimbaji Ben Pol alivyonusurika kifo baada ya boti kuzama baharini.

boti 2Ben Pol ni mwimbaji staa wa RNB kutoka kwenye Bongofleva Tanzania, alinusurika yeye na rafiki zake kwenye ajali ya Boti iliyozama wakiwa wanatokea kwenye kisiwa cha Mbudya, nje ya Dar es salaam kurudi Dar es salaam.
Jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

RECOMMENDED FOR YOU

You must be logged in to post a comment Login

Ombi Hili la Wema Sepetu, Likufikiae na Wewe….Tubadilike


“Watanzania wenzangu, naombeni leo tujiulize: mitandao ya kijamii ina kazi gani kama sio kuelimisha, kuendeleza na kunufaisha jamii?

Huu ni mwaka 2015. Kama kupendana bure, tushapendana vya kutosha. Kama kutukanana bila sababu, tushatukanana vya kutosha. Kama kushabikia vitu ambavyo havina msaada wowote kwa sisi na familia zetu, tushashabikia vya
kutosha.

Imefika hatua ya kunyanyuana, sio kushushana. Kuelimishana, sio kusemana. Kupeana moyo, sio kukatishana tamaa.

Imefika hatua ya kutegemea mabadiliko, na kupigania mabadiliko.

Nakuomba wewe kaka angu, dada angu, mama angu, baba angu...nakuomba ufanye maamuzi leo, kwamba kesho yako haitakua kama jana yako.

Kwa jina naitwa Wema Sepetu. Na leo hii nimeamua kwamba kesho yangu, haitakua kama jana yangu!

Wewe je? “.-Wema  mwenye followers zaidi ya laki nne mtandaoni ameandika haya na kuungwa mkono na mashabiki wengi na hata wale wanomdisi.

Asante sana Wema, ujumbe umefika.

Kwa jina naitwa Mzee wa Ubuyu  na leo hii nimeamua kesho yangu haitakauwa kama jana yangu.

11.03.2015 -  Tags:  WEMA

1 comment:

  1. Thanks for good sharing information

    Vimax asli

    Vimax pills
    Reply


Maneno Haya ya Lulu ,Yachukulie Kama Changamoto


Mrembo na staa wa Bongo Movie, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram ameandika ujumbe  mzuri ambao  kiukweli unaweza kukupa nguvu zaidi kufikia malengo yako kama mtu unaejitambua.

 “The more they try to slow you down on the road of purpose, the faster you have to go..!
You only meet opposition when you're going the
right way”

Kwa tafsiri isiyo rasmi anasema “kwa jinsi wanavyozidi kujaribu kukurudisha nyuma katika njia ya mafanikio ndio inakubidi uongeze mwendo…..na utapingigwa tu pale unapokwenda njia sahii”.

Kwa upande wangu, huu ni ujumbe mzuri sana ambao ningependa niulete hapa  kwenu wadau ili nanyinyi muuchukue kama changamoto ya kufanyikisha mambo yako.

Asante sana Lulu kwa maneno haya mazuri.

Mzee wa Ubuyu

No comments:

Post a Comment